Dogo Janja baada ya kuona “Nakupenda sema unakaujinga”>>>Uwoya - UBUYU TV

PATA UBUYU KWA WAKATI UKIWA NA UBUYU TV. UBUYU TV KARIBU YAKO ZAIDI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 31 March 2018

Dogo Janja baada ya kuona “Nakupenda sema unakaujinga”>>>Uwoya


Leo March 31,2018 kwenye upande wa entertainment story inayochukua headlines ni kuhusu wanandoa wawili muigizaji Irene Uwoya na Dogo Janja hii ni kutokana na comment ya Dogo Janjabaada ya post ya Irene Uwoya kwenye instagram page yake.
Irene Uwoya ameandika >>>“Nakupenda sema unakaujinga😏😏😏” baada ya caption hiyo ya Irene Uwoya maswali mengi yalijitokeza kwa mashabiki kutokana na Irene Uwoya kutotaja jina la mtu anayempenda na mwenye ujinga na wengi kubaki na maswali.




Baada ya muda Dogo Janja alicomment na kuandika….>>>“Au sio?” comment hiyo ilizidi kuleta maswali kwa mashabiki na wengi kujiuliza kama ujumbe ule ni wa Dogo Janja au la.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa